Izi shughuli za uajili serikali ingewaaachia private sector kwa mtindo wa ku outsource yenyewe haiziwezi...delloite hawawezi fanya upuuzi km iyo tume badhilifu.
Muungwana.
Kila jambo halikosi CHANGAMOTO. Zamani kabla ya Sekretariat ya Ajira, ulikuwa huwezi kuziona nafasi NYETI za serikali zikitangazwa. Nyingi zilikuwa za kuteuana au kuajiri kimya kimya. Mfano juzi juzi wametangaza Nafasi ya DG wa TBS ambaye zamani alikuwa anateuliwa tu.
Pili, Sekretariat inachofanya ni kuchukua Scheme of Service ya Taasisi husika kulingana na Nafasi fulani. Na kuitangaza then WENYE SIFA NA VIGEZO wanaitwa. THATS ALL NA SINGINEVYO
Natoa HOJA.
why 400 kwa nafasi 1,huoni kama kuwapotezea muda watu,nipe sababu tano za kunishawish kati ya watu 400 unahtaj moja kwa nini usiite hata watu 15 kisayansi kwa kuangalia cv zao na vigezo vinavyohtajika. Unadhan wakiitangaza kama hyo ya tbs utapata kama hauko kwenye mfumo,sio rahs kama unavyofikiri,hapo zaman halmashaur zilikuwa zikiajir zenyewe na hakukuwa na orodha ndefu
Wanatafuta sifa
we uko palekisendi...nakujibu kama ifuatavyo
1. Soma japo kidogo mwongozo wa selikali ambao kila tangazo la Sekretariat huwepo:
Applicants for entry levels have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.
Sekretariat wanatumia mwongozo huu kuita watu wote walioomba nafasi ya entry level katika utumishi wa umma.
Mfano: Anahitajika HR OFFICER III au IT OFFICER II au nafasi yote yenye FIRST ENTRY. Kigezo ni kuwa na Bachelor Degree tu. Wanaaply watu 300 na wote wana degree. Hivyo wanawachukua wote na kuwapima kwa mtihani wa kuandika, then wanachukua hadi 10 au 15 kwa Usaili wa ana kwa ana.
2. Kwa nafasi ambazo si za kuanzia wanaita watu 3 hadi 8 kulingana na nafasi, LAKINI WENYE VIGEZO VYOTE vilivyoandikwa kwenye tangazo HUSIKA na si vinginevyo.
3. Kama una VIGEZO VYOTE ni vyema kuomba na ujionee mwenyewe na si KUWA NA HISIA HASI.
4. Kila kwenye JAMBO hakukosekani changamoto
Natoa HOJA
kwa sasa ni kukamaa kujiajiri tu..labda uongoz wa nchi ubadilike.Nafasi hizi kubwa,nzur nzur wanashift waliomo kwenye mfumo! Kwa hyo kutangaza ni kama geresha ndugu yangu,hyo Tbs wanachukua mtu ambaye watamcontrol.
we uko pale
kama yuko pale basi ni muungwana sana, na amejibu vyema
Bt mbona so many guys of us wamepata pale na tukisota wote kitaa? Mi nadhani they are doing fair enough kwa the way wanavyoenda!!! Big Up sana Sekretariat
wewe tunajua umetumwa na wizara sasa acha kutetea ujinga, na stil haupati point hapo hizo '' Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.'' huo sio msahafu kwamba haubadiliki hio secretariate ya ajira haijaanzishwa muda mrefu sio stil ipo katika process ya learning as well what we are saying ni kwamba hauwezi kujastifai hata siku moja nafasi moja ukaita watu 400 kutoka monduli shinyanga, mbeya in the name kwamba kila mtu anavigezo,chukueni zile 10 au 15 za kwanza wafanyieni interview, watu wengine wataajiliwa sehemu nyingine au nafasi zingine zitakazotangazwa tena baadae, bila kupoteza muda wa watu na muda wenu na hela nyingi kwenye hio mitihani yenu, kama hamziamini university si muanzishe uni yenu ya utumishi, tuache hii tabia ya kiegemea sana kwenye ma theory, na watu sasa wafundishwe practicle ili waweze hata ku compite kwenye mashirika mengine binafsi, na kama mitihani ndio solution ungekuta sector za serikali zinafanya vizuri but unfortunately ndiko kubovu kupitiliza na sector binafsi ndio zinafanya vizuri hata hawataki hio mitihani cos they believe in their university certificate tu kinachobaki ni practicle tu. please badilikeni wafundisheni vijana kazi na sio kuwafundisha kuandika maana wanajua tayari kutoka mashuleni.kisendi...nakujibu kama ifuatavyo
1. Soma japo kidogo mwongozo wa selikali ambao kila tangazo la Sekretariat huwepo:
Applicants for entry levels have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.
Sekretariat wanatumia mwongozo huu kuita watu wote walioomba nafasi ya entry level katika utumishi wa umma.
Mfano: Anahitajika HR OFFICER III au IT OFFICER II au nafasi yote yenye FIRST ENTRY. Kigezo ni kuwa na Bachelor Degree tu. Wanaaply watu 300 na wote wana degree. Hivyo wanawachukua wote na kuwapima kwa mtihani wa kuandika, then wanachukua hadi 10 au 15 kwa Usaili wa ana kwa ana.
2. Kwa nafasi ambazo si za kuanzia wanaita watu 3 hadi 8 kulingana na nafasi, LAKINI WENYE VIGEZO VYOTE vilivyoandikwa kwenye tangazo HUSIKA na si vinginevyo.
3. Kama una VIGEZO VYOTE ni vyema kuomba na ujionee mwenyewe na si KUWA NA HISIA HASI.
4. Kila kwenye JAMBO hakukosekani changamoto
Natoa HOJA
kwa sasa ni kukamaa kujiajiri tu..labda uongoz wa nchi ubadilike.Nafasi hizi kubwa,nzur nzur wanashift waliomo kwenye mfumo! Kwa hyo kutangaza ni kama geresha ndugu yangu,hyo Tbs wanachukua mtu ambaye watamcontrol.
wewe tunajua umetumwa na wizara sasa acha kutetea ujinga, na stil haupati point hapo hizo '' Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.'' huo sio msahafu kwamba haubadiliki hio secretariate ya ajira haijaanzishwa muda mrefu sio stil ipo katika process ya learning as well what we are saying ni kwamba hauwezi kujastifai hata siku moja nafasi moja ukaita watu 400 kutoka monduli shinyanga, mbeya in the name kwamba kila mtu anavigezo,chukueni zile 10 au 15 za kwanza wafanyieni interview, watu wengine wataajiliwa sehemu nyingine au nafasi zingine zitakazotangazwa tena baadae, bila kupoteza muda wa watu na muda wenu na hela nyingi kwenye hio mitihani yenu, kama hamziamini university si muanzishe uni yenu ya utumishi, tuache hii tabia ya kiegemea sana kwenye ma theory, na watu sasa wafundishwe practicle ili waweze hata ku compite kwenye mashirika mengine binafsi, na kama mitihani ndio solution ungekuta sector za serikali zinafanya vizuri but unfortunately ndiko kubovu kupitiliza na sector binafsi ndio zinafanya vizuri hata hawataki hio mitihani cos they believe in their university certificate tu kinachobaki ni practicle tu. please badilikeni wafundisheni vijana kazi na sio kuwafundisha kuandika maana wanajua tayari kutoka mashuleni.