sekretari natafuta kazi 0755568949

sekretari natafuta kazi 0755568949

ketikai

New Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
4
Reaction score
0
napatikana Moshi ila nafanya kazi sehemu yoyote Tanzania. nina uzoefu na Elimu ya kutosha kufanya kazi bila kubabaika. Mungu awabariki ahsanteni.
 
tuma vyeti vyako hanang district council, p.o.box 2, katesh-hanang... hiyo kazi ipo wazi
 
usisahau kuambatanisha na barua... ni kazi ya serikali
 
Back
Top Bottom