Hahahahha mwenyewe nawachoraga tu bora kile kinachojitangaza kwa wimbo wa kwaya sijui" zioni zioniiiii zioni Chenye maadili mema"[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
KunA muhaya mmoja alipokuwa anasikia hotel management course akajua ukimaliza apo unakuwa meneja wa mahotel makubwa akasoma kwa mbwembwe zote wazazi wake full kujinadi alipokuja kwenye Ajira ndo alijuta na kulaani sana aliishia kuwa anadeki na kutandika vitanda lodge