Uwezekano wa kuitengua ni mkubwa sana. Tafsiri halisi ya Ndoa ili ikamilike ni tendo la ndoa kufanyika ipasavyo, na nguvu zinazoelekeana. Maumbile huwa siyo sababu kubwa sana ya Ndoa kuvunjika, labda yawe Abnomal, mfano mumeo ama mkeo huyo ana umbile kubwa hadi kumuangalia mara mbili unaogopa, hapo kama ni wa kiume pete itamuhusu, kama ni wa kike daah hili huwa haliongelewi sana. Na huyo atakayevishwa pete, ni zile ndefu na nyembamba, na sio ndeefu kama mguu wa mtu mzima na nene, hapo kama ni binti uombe talaka. Kama hana sehemu za siri, automatic hakuna ndoa hapo, kama anazo sehemu mbili, mtaelewana na kuvumiliana tu. Wapo wenye sehemu mbili za siri na wanaishi na wenza wao kwa usiri mkubwa tu.
UELEWA NA MTAZAMO WANGU.
Ahsante!