sehemu ya ofisi inapangishwa

sehemu ya ofisi inapangishwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,781
Reaction score
131,981
habari zenu wana jf.kuna sehemu ya ofisi inapangishwa inafaa kwa kuweka ofisi ya uwanasheria au mambo ya clearing n forwading etc.ofisi iko opposite na chuo cha biashara c.b.e.
 
ukubwa wake unaweza kupata vyumba vitatu na reception yake...alafu rent nmekosea ni 800, 000 kwa mwezi

hahahaa, imepanda ghafla?!!
Mazingira ya nyumba yakoje? kuna parking ya kutosha gari ngapi? hebu tuwekee na picha tuone kama inahusika tukupigie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom