Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani za kutembelea ukiwa jiji la Mwanza, haswa ukiwa na familia
 
Nenda pale Golden Crest, kwani City centre, full usalama, kama unapendelea swimming pool ndio usiseme, kama unapenda live band ndio usiseme, ukija kwenye vyakula yaani ndio balaaa!!!!
 
Kama unapenda muziki basi nenda villa park kyna luve band na misosi ya nfuvu na mademu pua wa kula class wapo,mwanza hotel siku za hmosi kuna mziki,gold crest club fusion na lips isamilo hotel ni madisko ya nguvu,nenda malauka hotel,tunza beach,jembe ni jembe na charcol ribs utaenjoy sana tu
 
Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani za kutembelea ukiwa jiji la mwanza, haswa ukiwa na familia
Mkuu kama una gari, zipo sehemu kibao!!
Bujora
Malaika
Buzurga Mall
Bugando hill
Saa nane (kisiwa cha hifadhi)
Tunza rtesort
Charcoal resort
Tilapia
mza.Hotel
Golden Crest
Nyegezi
na Kiboko yao Speakbay Nyanguge...

 
Wadau naomba kuuliza ni sehemu gani za kutembelea ukiwa jiji la mwanza, haswa ukiwa na familia

Inategemea wewe mtu wa namna gani na una Pesa kwa kiwango gani na unataka kutembea nini? mahotel una interest gani haswa! vivutio Vya kitalii au nini? be specific please.
 
Kama una familia na watoto wanataka kuenjoy nenda pale mkolani Mamiz kuna michezo ya watoto Mabembea na matakataka yote nyie wazazi mnakaa kwa mbali mnaangalia watoto wenu wanacheza
 
Njoo Capri point upunge upepo wa ziwani
 
Inategemea wewe mtu wa namna gani na una Pesa kwa kiwango gani na unataka kutembea nini? mahotel una interest gani haswa! vivutio Vya kitalii au nini? be specific please.
Swala la pesa ni za kawaida.vivutio vya kitalii na sehemu ambazo unaona madhari mazuri ya mwanza.
 
Saanane kiingilio 5000 nauli ya boti ni 35000 kwenda na kurudi wewe na familia yako msosi ni juu yako haya karibu saanane ufurahie jiji zuri na safi
 
Mwanza kwa sasa viwanja si haba na ni vya ukweli wadau wamekudodosea hapo juu kazi kwako karibu sana Rock City
 
Back
Top Bottom