Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,291 Reaction score 14,782 Apr 13, 2017 #21 kinywanyuku said: c2c bar,inbox bar,white and black pub zpo kihesa huko Click to expand... C2C lazima uondoke na Ukimwi! Pale unakunywa halafu sepa!
kinywanyuku said: c2c bar,inbox bar,white and black pub zpo kihesa huko Click to expand... C2C lazima uondoke na Ukimwi! Pale unakunywa halafu sepa!
mbudunge JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,735 Reaction score 1,092 Apr 13, 2017 #22 obseva said: hakika ukiipenda dunia, kumpenda Mungu hakumo ndani yako Click to expand... Mungu tutamkuta tukifa ila bata zipo tu (joke)
obseva said: hakika ukiipenda dunia, kumpenda Mungu hakumo ndani yako Click to expand... Mungu tutamkuta tukifa ila bata zipo tu (joke)
mbudunge JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,735 Reaction score 1,092 Apr 13, 2017 #23 kinywanyuku said: c2c bar,inbox bar,white and black pub zpo kihesa huko Click to expand... Kwa zakia vantela na mawaga
kinywanyuku said: c2c bar,inbox bar,white and black pub zpo kihesa huko Click to expand... Kwa zakia vantela na mawaga
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,047 Reaction score 13,177 Apr 13, 2017 #24 Nenda ndiwili mkuu
O obseva JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 578 Reaction score 663 Apr 13, 2017 #25 mbudunge said: Mungu tutamkuta tukifa ila bata zipo tu (joke) Click to expand... hahahaaaa nimekusoma ndugu! shida ukikutana naye uko vizuri hamna taaabu kabisaaaa, mnaweza kuendeleza bata hukohuko mtakakokutana, ukiwa ovyoo unaweza usizione tenaaaaaaaaaaaaa
mbudunge said: Mungu tutamkuta tukifa ila bata zipo tu (joke) Click to expand... hahahaaaa nimekusoma ndugu! shida ukikutana naye uko vizuri hamna taaabu kabisaaaa, mnaweza kuendeleza bata hukohuko mtakakokutana, ukiwa ovyoo unaweza usizione tenaaaaaaaaaaaaa
mbudunge JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,735 Reaction score 1,092 Apr 13, 2017 #26 obseva said: hahahaaaa nimekusoma ndugu! shida ukikutana naye uko vizuri hamna taaabu kabisaaaa, mnaweza kuendeleza bata hukohuko mtakakokutana, ukiwa ovyoo unaweza usizione tenaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Kweli kabisa mkuu maandalizi ni muhimu haswaaa,, death is real
obseva said: hahahaaaa nimekusoma ndugu! shida ukikutana naye uko vizuri hamna taaabu kabisaaaa, mnaweza kuendeleza bata hukohuko mtakakokutana, ukiwa ovyoo unaweza usizione tenaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Kweli kabisa mkuu maandalizi ni muhimu haswaaa,, death is real
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,843 Apr 13, 2017 #27 BUMIJA said: Makanyagio Mkwawa Click to expand... Hii Makanyagio ipoje? Inavutia? Ni Kubwa au?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,513 Reaction score 119,349 Apr 13, 2017 #28 BUMIJA said: Makanyagio Mkwawa Click to expand... Hahaha, umenikumbusha pale makanyagio, wali wa jero nilikuwa nashiba balaa, au mabanzi ya mia matatu unashinda siku nzima bila njaa. Aende wilolesi, gangilonga, kihesa...teh!!
BUMIJA said: Makanyagio Mkwawa Click to expand... Hahaha, umenikumbusha pale makanyagio, wali wa jero nilikuwa nashiba balaa, au mabanzi ya mia matatu unashinda siku nzima bila njaa. Aende wilolesi, gangilonga, kihesa...teh!!
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,849 Reaction score 3,066 Apr 13, 2017 #29 Mwanga Lutila said: C2C lazima uondoke na Ukimwi! Pale unakunywa halafu sepa! Click to expand... duu C2C pana ukimwi kumbe maana machali wanapapenda sana
Mwanga Lutila said: C2C lazima uondoke na Ukimwi! Pale unakunywa halafu sepa! Click to expand... duu C2C pana ukimwi kumbe maana machali wanapapenda sana
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,849 Reaction score 3,066 Apr 13, 2017 #30 mbudunge said: Kwa zakia vantela na mawaga Click to expand... duu vantela bado ipo nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa tumachungulia epl dirishani
mbudunge said: Kwa zakia vantela na mawaga Click to expand... duu vantela bado ipo nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa tumachungulia epl dirishani
Mapensho star JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,054 Reaction score 4,115 Apr 13, 2017 #31 Amadoli said: Luxury pub, V.I.P, kuna +255 pub au miami bar na holiday in hapo kuna starehe zote za dunia his mkuu karibu iringani Click to expand... hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu
Amadoli said: Luxury pub, V.I.P, kuna +255 pub au miami bar na holiday in hapo kuna starehe zote za dunia his mkuu karibu iringani Click to expand... hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Apr 13, 2017 #32 ilala yetu said: ushazijua na sehemu za ibada pia Click to expand... haihitaji kuuliza kwani lile kanisa linaonekana ukiwa popote iringa town
ilala yetu said: ushazijua na sehemu za ibada pia Click to expand... haihitaji kuuliza kwani lile kanisa linaonekana ukiwa popote iringa town
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,198 Reaction score 7,536 Apr 13, 2017 #33 kula bata au mbwa? hahahahahahah
24hrs JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,632 Reaction score 5,968 Apr 13, 2017 #34 laki si pesa. said: uchumi wa Iringa unategemea sana uwepo wa wanavyuo.... Click to expand... kuna ukweli ndani yake duu... sasa nikiwaza mikopo yenyewe ni tatizo mji uta songa kweli....
laki si pesa. said: uchumi wa Iringa unategemea sana uwepo wa wanavyuo.... Click to expand... kuna ukweli ndani yake duu... sasa nikiwaza mikopo yenyewe ni tatizo mji uta songa kweli....
24hrs JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,632 Reaction score 5,968 Apr 13, 2017 #35 MIAMI BAR totoz za chuo rucu.mkwawa na tumaini uzikosi....
Y YABUUU JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 1,524 Reaction score 1,426 Apr 13, 2017 #36 MIAMI
M mawelewele JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 277 Reaction score 135 Apr 13, 2017 #37 Shine pub kaka,pako poa
Kelvin X JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,940 Reaction score 2,402 Apr 13, 2017 #39 Mbaya sana nilikua hapo last year, watoto wazuri afu washamba Mapensho star said: hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu Click to expand...
Mbaya sana nilikua hapo last year, watoto wazuri afu washamba Mapensho star said: hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu Click to expand...
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,268 Apr 13, 2017 #40 Mapensho star said: hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu Click to expand... Kama kawa pesa yako tu
Mapensho star said: hapo holiday bado umalaya unafanyika?mkuu Click to expand... Kama kawa pesa yako tu