Hakuna sehemu yenye maeneo mabovu kwa starehe za kawaida kama Iringa...m
Miami kwenyewe pachafu mno, yani jikoni na chooni panatazamana, sahani zinaanguka chini na mimaji maji yale na bado anaokota anakuwekea vya moto....
Angalau kule karibu na kwa mkuu wa mkoa , pana unafuu, sema ni nje kidogo ya mji.......
Otherwise.. IRINGA IS BORING