THANKS MZIZIMKAVU,TOU HAVE PRESENTED THE PICTURE THAT YOU INTEND WE TANZANIAN TO KNOW,AND NOT AS RUGE CPU THOUGHT.
keeeeeeeeeeeep it uuuuuuuuup!!!!!!!!!!!
matatizo sio ya kwangu ni ya hii J.forums nimejaribu Ku attach matokeo yake ndio hivyo picha zimeka juu chini juu chini. itabidi uongozi J.Forums wajaribu kurekebisha kuhusu suala la kuweka picha kwa kutumia ad na Attach wahusika wameona na wajaribu kutuelimisha vizuri ni jinsi gani ya kupanga pictures kutumia Attach asanteni sana