Security ya Sudan ni Balaa, Usithubutu...

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Niko hapa Sudan, nilikua nachati kwenye skype na mshikaji kuhusu Rais wa hapa ghafla ile chat flow yote imetoweka, nimetetemeka sana....
 
Niko hapa makao makuu ya AU, nilikua nachati kwenye skype na mshikaji kuhusu Rais wa hapa ghafla ile chat flow yote imetoweka, nimetetemeka sana....

Mkuu Sudan au Ethiopia?
 
Niko hapa makao makuu ya AU, nilikua nachati kwenye skype na mshikaji kuhusu Rais wa hapa ghafla ile chat flow yote imetoweka, nimetetemeka sana....

Unamaanisha UN au AU angalia fresh wasije wakaondoka na wewe!
 
Pole sana mkuu.Ila sina uhakika kama Sudan ina sophisticated filtering systems kama hizo

Ingekuwa China au North Korea yaweza tokea.Ni a case of bad signal
 
Pole sana mkuu.Ila sina uhakika kama Sudan ina sophisticated filtering systems kama hizo

Ingekuwa China au North Korea yaweza tokea.Ni a case of bad signal

je unaweza kunisaidia what happened?
 
je unaweza kunisaidia what happened?

Nothing happened mkuu.If i were you i would have been more worried of NSA snooping my biz than a third world country such Sudan compromising my communication

Kuondoa utata uwe unatumia VPN.Itakuwa vigumu kwa wao kujua ulipo na vitu kama hivyo.

Relax mkuu
 
sawa mkuu nimekuoata na kukushukuru
 
Jamaa wako vizuri sababu almost 70% ya budget yao ni kwa ajili ya jeshi!

naona kuna contradicting ideas hapa, lakn data kama hizi ni muhimu, nafahamu nchi wanazowekeza for security purposes
 
Niko hapa Sudan, nilikua nachati kwenye skype na mshikaji kuhusu Rais wa hapa ghafla ile chat flow yote imetoweka, nimetetemeka sana....

Ndio zenu hizo, mkiwa nchi za wenyewe kila siku mnakosoa kila kitu kama kwamba huko kwenu Tanzania ni binguni. Tumezoea hapa JF posts jamaa wanatoa eti "niko hapa Kenya hawa watu wana njaa"
 
Ndio zenu hizo, mkiwa nchi za wenyewe kila siku mnakosoa kila kitu kama kwamba huko kwenu Tanzania ni binguni. Tumezoea hapa JF posts jamaa wanatoa eti "niko hapa Kenya hawa watu wana njaa"
sidhani kama nimekusoma mkuu
 
Skype ina feature ya VPN mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…