Secretariat ya ajira (PSRS) hutumia vigezo gani kutathmini cutt-off points zao? Interview ya watu 3,062 wamechaguliwa watu 46 tu? Yaani 1.5%

Kama ile paper ya TEMESA jamaa alikuwa nayo mwezi mmoja kabla...

Na dogo kaitwa oral na uhakika nafasi ni yake maana yuko na referee hapo temesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kiini macho tu Mkuu watoto wenye baba zao wameshabebwa halafu wale wasio na majina makubwa wataambiwa MKAJIAJIRI.
Usimlaum dogo laumu serikali iliyoshindwa kutengeneza mazingira na fursa za kutosha kuwa na ajira za watu wake.
Pochi nene + undugu, ndio vigezo vikuu mzee.
Aaah wapi hata mashekhe watawapa wafagia misikiti na wapiga Adhana huku Mapadre watawapa wale Vijana wa kwaya yaani kiufupi bias haitoisha kwa mwanaadamu yeyote yule atakaepewa nafasi.
nipewe mim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inteview zinazofanyika Tanzania hazina maaana kwanza kuna kitu kinaitwa mnyonyo ( uvujishaji) na wanaziuza baadhi ya wafanyakazi ambao sio waaminifu wanauza tena kwa pesa ndefu lakini watu wananunua na hawapati mfano interview ya Tanroads mizani nililinunua mnyonyo wa wa 2m lakini wamenitupa.
Pia siku hizi majina ya makada yanapelekwa mapema wanapewa kwanza wenyewe kama zitabaki ndo mnafikiliwa
 
Naombeni msaada nje ya mada kuna Uzi ulianzishwaga wa jinsi maswali ya interview na majibu yake pia anaeufaham naomba link.
 
Kwanza twambie wewe umekatwa au umepita? maana naona waliokatwa ndio wanao toa lawama na kuwapaka matope secretarity ya ajira......
Ukweli ni kwamba UTUMISHI ukiwa na maandalizi ya zima moto then ukafanye zile paper utaishia kusema ni rahisi na status inasoma NOT SELECTED, na kuona watu wanapewa paper, kikubwa ni kusali sanaa, kufanya maandalizi ya kutosha, utaona matunda yake, nilikuwa muhanga wa not selected, nikakaa chini kupiga shule, nikatoka uko now nipo job, msikate tamaa kikubwa ni kupambana na kumuomba mungu.
 
Ukweli ni kwamba UTUMISHI ukiwa na maandalizi ya zima moto then ukafanye zile paper utaishia kusema ni rahisi na status inasoma NOT SELECTED, na kuona watu wanapewa paper, kikubwa ni kusali sanaa, kufanya maandalizi ya kutosha, utaona matunda yake, nilikuwa muhanga wa not selected, nikakaa chini kupiga shule, nikatoka uko now nipo job, msikate tamaa kikubwa ni kupambana na kumuomba mungu.
Tatizo ni Kuitwa KAZINI mkuu wengine tunapenya sana hizo sehemu ila kazini ndo doh na Database nayo haiweleweki nowadys na kada zetu wengine post moja watu 10 MNAINGIA ORAL acha tuendelee na Ujasiriamali tu hakuna namna.
 
Subiria kampeni ikaribie Mkuu mtahitajika wengi mno
Siku hio hata hii lugha ilioletwa na wakoloni sijui intrest sijui secretariet zitakuwa hazipo
Hadi nussery school watapelekewa maziwa
Wewe kuwa na subra tu‍♂️
 
Ratio ya watu 5 kwa nafasi moja wangeifanya tangu written interview. Kwanini Waite watu zaidi ya 3,000 kwa nafasi 10? Kuna rushwa inatembea Secretariat ya ajira. Their time will come....
Acha kulia lia jamaa wako fair.....embu pata 100 usipoitwa njoo nikupeleke kwa John Pombe
 
Back
Top Bottom