Mie mwenyewe akili yangu inanichosha basi tu hamna spea teh teh.
Mie kama magelofrendi wa diamondo. Ukianza kunifukuzia namzoea mamako kwanza, nampeleka kusukwa ama namsuka mabutu. Unanichunguza unataka kuninunua ama kunimodifai?

aahahhaahha ngoja waje!
af jana Boflo kanitumia nanihiiiii si nikataka nikamwonyeshe shangazi yake ili nimwambie ahsante kwa C/O
ehehehhehhee nikanunuaje yale madera ya muscat?
ngoja niweke picha nilizopiga nae tukiwa dukani!
Samahan wan Jf naomba mnisaidie kwan hv ni sahih kuwa kwenye mahusiano ya mapenz na mtu halafu ikawa siri.? Marafk wacjue wala watu wa karb.. Hapa kuna mapnz ya kwel jaman??
Mapenzi ya kweli ni hatua, si kitu cha kufumba na kufumbua ... mara nyingi huanzia huko then muda unapokwenda mambo yanajiseti yenyewe!!!So muda ndo mama wa yote ....