Secret and questions behind Charlie Hebdo attack

deebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
353
Reaction score
229
Habari zenu wakuu, nimeona si vibaya nikawaletea link hii tuongeze ufahamu wa matukio ya mashambulizi yanayopamba moto kwa kasi. Soma,tafakari kisha njoo hapa jukwaan tujadiri na sio kutukanana.

 
siku mafuta yakiisha uarabuni watasema AMERICA
 
waislam wanatumika nao wanafurahia na kuchekelea kwamba wao ndio wame attack charlie ebdo kisha kujiona mashujaa... nilijiuliza hivi ni kweli walishindwa kuwakamata wakiwa hai hao kuouche brothers, nilikosa jibu! kumbe ni kuwaziba midomo na watu hawatajua kweli kama wamehusika au lah.

Inawezekana hawa vijana walikuwa na historia ya uxtremist huko nyuma, na hapo ndipo walipotumia loop hole ya kuwabimbikizia ! na mwingine waliyemziba mdomo ni mchunguzi mkuu wa hii charlie ebdo eti amekutwa amejiua baadaye!

Hii dunia hii bila muslims ku wake up na ku condems hizi vitu......

alkaeda wametumika kupiga wtc na waislam walio wengi eti wanajivunia, kumbe ni janga kwa dunia na kwao waislam, ilibidi walikemee....

ISIS wanatumika kucreat great israel project, kummaliza assad , kudestabilize iraq , then greater israel will be accomplished laters, wayahudi nasikia wameshaanza kununua nyumba huko iraq !

boko haram ni project ya mossad na cia ya afrika magharibi.....

al shabab ni project ya mossad na cia ya afrika mashariki ....

cc stata mzuka Manosa THE BIG SHOW MziziMkavu Ritz FaizaFoxy Eiyer Shekeli TEGETA KIBAONI
 
Maelezo marefu ya nini ? Si France ilitangaza kuitambua na kuipigia kura taifa jipya la Palestine ? Hiyo ni dhambi isiyokubalika bila ya adhabu kutoka kwa gaidi Benjamin....TAFAKURI.!

mkuu nimeiunganisha dots na vile BIBI alivyopata kiherehere kwenda ufaransa mara baada tu ya tukio eti kwenda kusaidia kupiga vita ugaidi...
 
Well analysied !!
 

Mkuu hata ueleze vp hawa wenzetu hawaelewi..wao wanachojua kua ndio implementation ya dini ya kiislam kufanya matukio kama hayo.

Ila naamin ukwel utafahamika siku moja na watu wasichoke kutoa elimu juu ya haya mambo.
 
Last edited by a moderator:

Ikiwa wameuliwa kwa kubambikiwa they are our heroes anyway, even more so.
 

Naanza kufikiri kuwa hata Islam ni project ya Marekani pia!
 
Lengo lao linajulikana

ni kutaka kuizima nuru ya allah uislam kwa kuupaka matope

uzuri hivi sasa propaganda hizi zinafahamika na zinaeleweka

hakuna muislam anaeingia kichwa kichwa na kutumika mkuu

sisi tunajiskia raha sana hivi sasa huu ukweli unavyodhihiri

shukran kwa kunimention huku
 
Kama Amerika ni ant Islam,ni nani alietoa ruhusa ya kujengwa msikiti pale ground zero ya WTC?

Aisee kumbe wewe jamaa IQ yako ni ndogo kias hicho??

Daah,kumbe nilikuwa napoteza time yangu kule

:yawn:
 
Kama Amerika ni ant Islam,ni nani alietoa ruhusa ya kujengwa msikiti pale ground zero ya WTC?

Mkuu elewa hii ni siasa... Na hii vita sio ya waz waz kama unavyodhani...Ni vita ipelekwayo kwa ustadi wa hal ya juu...kwa juu juu ni kama kuna amani ila fact za ndani hazipo hivyo.
 
Naanza kufikiri kuwa hata Islam ni project ya Marekani pia!

No way near mkuu...hiyo kitu haipo hata kidogo mkuu...au leta fact kwann umepata hizo fikra ili tupanuane mawazo mkuu....leta fikra mkuu!
 
Mkuu elewa hii ni siasa... Na hii vita sio ya waz waz kama unavyodhani...Ni vita ipelekwayo kwa ustadi wa hal ya juu...kwa juu juu ni kama kuna amani ila fact za ndani hazipo hivyo.

Maelezo yako bado hayajibu nilichokuuliza .....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…