yeah tuwen na subra pamoja na wale walioapply community health.
community health majibu lini?
kama we n mlengwa wa second selection ya vyuo vya afya tembelea profile yako...kila lakheri
mkuu_ screen shoot,, profile yako tuone. mbana hamna changezi yoyote , na kama majina yametoka yametoka wapi...!!?
Jaman naomba kuulza, samahan lakn. Je unaweza kujiunga moja kwa moja na vyuo vya afya bila kupitia NACTE?
hata ukiomba kwa kujaza form moja kwa moja chuoni, jina lako lazima litapelekwa nacte,... maana wao ndio wanaratibu utaratibu mzima.
Nmeulza xx hv km inawezekana kufanya hvyo hasa kwa vyuo vya private maana naona pazia lishafungwa kwa NACTE