Ni ngumu maana kuna wenye two za mwanzo wameachwaDuh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Asee basi nikalime tuNi ngumu maana kuna wenye two za mwanzo wameachwa
nikikosa mpka NTA 5Asee basi nikalime tu
sio 20/10/2018 tena?22/10/2018
Asee pole tatizo linalingana na langu subiri bahati ikishindikana nenda privateMkuu mm kwa kweli matokeo yangu ya 4m4 so mazuri nilipata three ya point 25 nka apply astashahada ya ualimu wa shule ya msingi kwa awamu ya kwanza nikatemwa na reason ilkua the last selected ana point 24 ko mm na 25 2kaambiwa kuapply upya HV kwel awamu ya pili watanichukua au niangalie private mkuu(history,C. Geo,C. Kiswahil,C. Math,D. chem,D. Bios,D. na masomo mengne yaliyobaki nilkua na d)
Mkuu wewe ni muhisika wa hiko chuo? na je, chuo gani hiko? kinatoa kozi zipi na zipiDeadline ya kupeleka Majina 4 verification ilikua jana. Kwahiyo nikicheki verification status inamiambia "verification in progress". Majina ya awamu ya kwanza yalichukua kama 2 weeks kufanyiwa verification yalikua mia 6 kwa Chuo chetu.
Ila kwa sasa tumetuma mia 2 nadhani NACTE watatumia wiki 1 tu.
Muwe wavumilivu
chuo gani?NTA 4 inamaana atasoma Basic certificates ya mwaka 1Kuna mdogo wang first selection NACTE kaandikiwa NTA47, hii maanayake ni nini jaman
Mkuu wewe ni muhisika wa hiko chuo? na je, chuo gani hiko? kinatoa kozi zipi na zipi
Vyuo vyote vya ufundi tunafuata ratiba ya NACTE waliitoa. Kwa sasa vyuo vya ufundi vimeacha kutoa Application kwasababu ni Muda wa NACTE kufanya verification. Kama hadi saa hujafanya Application kuna uwezekano ukawa umechelewa sana, labda waturuhusu tena ku-upload majina ya late applicants katika system yao.. Kumbuka Chuo kinampa deadline Applicant na chenyewe kinapewa deadline ya kupeleka majina NACTE.
Anhaa sawa kwahiyo hapo nikikosa chuo cha serikali nitulie hadi mwakani
Sawa mkuu unaweza ukaja inbox uniambie taarifa kuhusu chuo chenu pengine naweza mudu kusomaHapana. Kama bado unania ya Kusoma, naamini NACTE watatoa window tena kwa late applicants.
ni kwel yanatoka leo?22/10/2018
kama mim tyu nmekosa first round sasa sijui this time kama ntabahatikaDuh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Asee ulipata chuo wewe na mwenzakokama mim tyu nmekosa first round sasa sijui this time kama ntabahatika
Umeitoa WAP hii mkuuKuwa mvumilivu mzee kuanziaa tarehe ishirini mana ..kwa certificat na diplo.....wanaanza kulipot vyuon tarehe 29 ..mpaka 3 nov.... Ko endelea kupambana
kwenye joining istruction ...tuliyo tumiwa na vyuooUmeitoa WAP hii mkuu