Second Selection Nacte

idrissi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
512
Reaction score
433
Naomba kujuzwa matokeo ya second selection kwa diploma na certificates yatatoka lini?
 
Duh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Mpaka wiki ijayo subir
 
Kuwa mvumilivu mzee kuanziaa tarehe ishirini mana ..kwa certificat na diplo.....wanaanza kulipot vyuon tarehe 29 ..mpaka 3 nov.... Ko endelea kupambana
 
dah mimi kaka mwaka wa pili huu nakosa chuo wakati vigezo ninavyo tena mwaka huu nimekosa hata NTA 5
Jina langu lipo kwenye Verificatio n pale NACTE ila niliongea na meneja wa chuo akasema tusubiri mpaka tarehe 20 nitakuwa Verified
 
sawa boss wacha nivumilie lakini Nacte wakatili sana
Kuwa mvumilivu mzee kuanziaa tarehe ishirini mana ..kwa certificat na diplo.....wanaanza kulipot vyuon tarehe 29 ..mpaka 3 nov.... Ko endelea kupambana
 
Duh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Matokeo yako sio mabaya ila ushindani ni mkubwa sana kama inawezekana jaribu na private
 
vyuo ulivyoweka vina ushindanibmkubwa sana,halafu kumbuka mwaka huu kuna madogo wamepelekwa direct hivyo nafasi ni chache
Ndio mku
nikiweka 1.Kilosa 2.Mtwara 3.Mbeya
 
Samahanini jaman mwenye kujua process ya kuhama chuo yaan transfer koz kuna mdg wangu anataka ahame chuo ila nafatilia website hawajatoa taarifa yoyote nisaidien kama kuna mtu Ana a, b, c kuhusu hili jamn
 
Aanzie chuo anachotaka kwenda kama kuna nafasi watampa barua kisha anachukua barua ya uhamisho chuoni anachosoma then ataenda wizara ya afya na nacte kwa ajili ya uhamisho very simpo kama chuo anachotaka kwenda nafasi ipo na barua amepata
 
Mkuu mm kwa kweli matokeo yangu ya 4m4 so mazuri nilipata three ya point 25 nka apply astashahada ya ualimu wa shule ya msingi kwa awamu ya kwanza nikatemwa na reason ilkua the last selected ana point 24 ko mm na 25 2kaambiwa kuapply upya HV kwel awamu ya pili watanichukua au niangalie private mkuu(history,C. Geo,C. Kiswahil,C. Math,D. chem,D. Bios,D. na masomo mengne yaliyobaki nilkua na d)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…