Namba yake ya simu imekuja nusu Asante sana barikiwaUsijali mkuu ni technical problem wala naona shida maombi yake yameshafika na kufanyiwa kazi kilichobaki asubiri majibu tuu. Hata kwa waliopata first round before results walikuwa wanaandikiwa hivyo. Ukitaka kuhakikisha angalia taarifa pale chini ya kozi alizoomba na details zingine kama zipo sawa. Relax
Hazipo sawa hasa namba yake ya simu imekuja nusu anyway thank aloot be blessed let's wait kwa resultsUsijali mkuu ni technical problem wala naona shida maombi yake yameshafika na kufanyiwa kazi kilichobaki asubiri majibu tuu. Hata kwa waliopata first round before results walikuwa wanaandikiwa hivyo. Ukitaka kuhakikisha angalia taarifa pale chini ya kozi alizoomba na details zingine kama zipo sawa. Relax
Hapana mkuu kwa hii ishu ya jamaa applicants wote wa first round waliandikiwa hivi before selection results.Kama umeomba nafasi na inaonekana prior status kwamba bado kuna status ya prior admission , inakubidi uchukue barua kutoka kwa mkuu wako wa chuo , ambatanisha na transcript kisha upeleke tcu pale utapewa form ya kujazaapplication ndipo baadae tcu watakutoa kwenye system yao , kutokea neno hilo hapo juu inamaana wewe unaonekana bado unasoma , umemaliza diploma mwaka huu au ulishawai kua admitted hivyo unabidi kufanya clearance usipofanya hauchaguliwi mim ilinikuta nikafanya clearance pale tcu ,
Yeah. Na ni jambo Jema, utafata procedures zote kwa chuo huko as if unaappy for the first time.Ukihitaj kuapply second round vyuo ambavyo hukuapply befor inawezekana??
mkuu na mimi nashida kama hii .......ilichukua siku ngapi baada ya kuwapa barua kukutoa kwenye system?Kama umeomba nafasi na inaonekana prior status kwamba bado kuna status ya prior admission , inakubidi uchukue barua kutoka kwa mkuu wako wa chuo , ambatanisha na transcript kisha upeleke tcu pale utapewa form ya kujazaapplication ndipo baadae tcu watakutoa kwenye system yao , kutokea neno hilo hapo juu inamaana wewe unaonekana bado unasoma , umemaliza diploma mwaka huu au ulishawai kua admitted hivyo unabidi kufanya clearance usipofanya hauchaguliwi mim ilinikuta nikafanya clearance pale tcu ,
Ahaaa shukran,Inatokea hivyoView attachment 860801
ukishapewa hiyo barua na kuwasilisha panapo hitajika hiyo status inasomekaje mkuu !? geniusMeKama umeomba nafasi na inaonekana prior status kwamba bado kuna status ya prior admission , inakubidi uchukue barua kutoka kwa mkuu wako wa chuo , ambatanisha na transcript kisha upeleke tcu pale utapewa form ya kujazaapplication ndipo baadae tcu watakutoa kwenye system yao , kutokea neno hilo hapo juu inamaana wewe unaonekana bado unasoma , umemaliza diploma mwaka huu au ulishawai kua admitted hivyo unabidi kufanya clearance usipofanya hauchaguliwi mim ilinikuta nikafanya clearance pale tcu ,