gbrother JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 408 Reaction score 51 Jul 23, 2012 #1 Inasemeka kuwa season two ilipigwa stop kisa sababu za usalama, kuna ukweli? kwenye wkpidea wanaepisodes zote wakielezea yanayojiri season 1 bt hizi ze2 za bongo zimeishia kati, mwenye complete season 1 jamani. Au wapi nitapata?
Inasemeka kuwa season two ilipigwa stop kisa sababu za usalama, kuna ukweli? kwenye wkpidea wanaepisodes zote wakielezea yanayojiri season 1 bt hizi ze2 za bongo zimeishia kati, mwenye complete season 1 jamani. Au wapi nitapata?