Umri wangu ni 33yrs,mkristo,elimu ya chuo na nimfanyakazi, Mrefu na umbo la kimichezo. Napenda kucheza Volleball na bascketball pia kuhudhuria kanisani.
NIMTAFUTAYE:
-Mkristo
-Umri 22 to 29yrs
-Elimu ya chuo,mwanachuo anaye tarajia kumaliza mwaka huu au form six.
-Binti mwenye constructive thought na muelewa
-Mrefu au mrefu kiasi,asiwe mfupi Pls
-Umbo la wastani,asiwe mnene
-Awe tayari kucheck Afya na asiwe na maradhi ya kurithi (kifafa n.k)
Pls for only who are serious.