Wee shauri yako kuna mabinti kibao pale Kisutu na Jangwani sec school watamtwangia pindi akiona hili tangazo. maana wanapenda sana status za za namna hii
oh my god, that is crazy, i am not like tyson, but i am just a normal person, with a great love for the one who have the same, please please please, i need a beautiful one not only perception, even upstair,i mean smartness, hope u got me right guys!
Uzuri kwako ni nini?unene,wembamba,urefu au nini kigezo chako cha kusema m2 mzuri?halafu eti wote unaowaona hawajakuvutia hadi uje utafute usie mjua huku?sasa mdada akikupigia wewe ndio umemtokea au yeye?
Naomba nikusidie km hutojali,
Unachotakiwa kufanya hapa,nikuandika sifa zako,yaan, jinsia,umri,umbo(mrefu au mfupi)elimu yako,profesheno yako,una mtoto au watoto,mwenyeji wa wapi na unapoishi.
Then andika na sifa za binti unayemtaka km hapo juu,weka mawasiliano km ulivyoweka ya cm hata email,
Ni ushauri tu,ukiona haukufai potezea tu.