Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Please mwenye information zozote kuhusu hawa jama walitangaza kazi za PROJECT MANAGER,wakawanareply kwenye email then kimya,kama kuna mtu ana any updates please
inawezekana wamepata mtu nimeshawahi kufanya nao kazi hao
tahadhari - tahadhariil amwambie hr wao aache kuomba rushwa ili kuwapa madogo nafasi..nna watu wawil nnaowajua waliomba hio kazi,wakatumiwa email for interview but the second step ikawa longolongo badae ikabidi hr afunguke akiomba kitu kidogo eti kisa kazi ina mshahara mkubwa..shame on him na hiyo organisation yenye hr bogus asieangalia merits instead anataka hela..kanikera,sema alikutana na wanasheria wajanja asingeweza kuwaingiza mkenge kifalafala hivyo!!!
Duh kumbe nawewe uliomba? Nilishaanza na kazi mimi