nicolas150
Member
- Oct 16, 2016
- 26
- 15
Kama mhudumu ana kidonda kinachotoa damu na mhudumiwa naye ana kidonda kinatoa damu na damu kutoka kwa mhudumu ikagusa kidonda cha mhudumiwa hapo ndipo maambukizi yanaweza kutokea hapo kama baadhi ya factor kama muda wa damu ya mhudumu kukaa nje kabla ya kumuingia mhudumiwa, kiwango cha maambukizi cha mhudumiwa, kama mhudumu anatumia dawa za kufubaza, Kinga ya mwili ya mhudumiwa, nk hazitakuwa "considered"......kiswahili kigumu bwana!Habari wana forum
Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?" View attachment 1673192

HahaaaaaaaNilienda mitaa ya Sinza kunyoa saloon,mdada mrembo akanipokea na kunivika kitambaa tayari kunyolewa.Baada ya kunyolewa akaja tena kunifuta na kunishika kwa ustadi,masikio shingo na kichwani,akaniuliza nina scrub?
Haraka sana nikajibu NDIO.
Kesho naenda kupima.
Habari wana forum
Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?" View attachment 1673192
Ile ni masaji ya usoni so wanaofanyiwa wanafeel good.Basi wafanya scrub wawe wanavaa Gloves....kuondoa hii sintofahamu
Au.Me nakuamini..kwan wewe huniaminI!?...
Hii kaul ndo huambukiwa watu ukimwi.
Maambukizi ya VVU yangelikuwa rahisi hivyo basi kila mtu angelikuwa amekwisha ambukizwa. Kana kwamba scrub inaleta mchubuko kati ya mtoa na mpewa huduma?!, Kwanza ngozi ya viganjani ni ngumu na stahimilivu kulinganisha na ile ya private parts. Hizo ni stories za kijiweni na hazina ukweli wowote..
Sio kirahisi hivyo.Habari wana forum
Kuna mjadala hapa tunajadili "Je kufanyiwa scrub ya usoni na muathirika wa virusi vya ukimwi kunaweza kusababisha kuambukizwa virusi vya ukimwi ?" View attachment 1673192
Scrub,,,,ndo agenda hapa mkuu,,mtu anapofanya mapenzi n mfano wa scrub,,,""kidonda tuciende huko saaanaKama mhudumu ana kidonda kinachotoa damu na mhudumiwa naye ana kidonda kinatoa damu na damu kutoka kwa mhudumu ikagusa kidonda cha mhudumiwa hapo ndipo maambukizi yanaweza kutokea hapo kama baadhi ya factor kama muda wa damu ya mhudumu kukaa nje kabla ya kumuingia mhudumiwa, kiwango cha maambukizi cha mhudumiwa, kama mhudumu anatumia dawa za kufubaza, Kinga ya mwili ya mhudumiwa, nk hazitakuwa "considered"......kiswahili kigumu bwana!