Niliharibu screen ya Samsung galaxy J7 neo nikaenda kwa fundi akabadili screen sasa hii mpya naona ubora wake haumatch na ule wa awali hususan kwenye kuplay HD contents pia blue light filter haifanyi kaz hata nikiactivate , kuna app ya kujua kama screen inasapot HD ili nielewe? Msaada wakuu