P Princessone Member Joined May 8, 2013 Posts 99 Reaction score 87 May 22, 2013 #1 habari wadauz screen touch ya tablet yangu imegoma kufanya kazi kabisa, naomba kwa yeyote aliyewahi kupata problem hii anisaidie alitatua aje. aina ya tablet ni twinmos. Natanguliza shukrani.
habari wadauz screen touch ya tablet yangu imegoma kufanya kazi kabisa, naomba kwa yeyote aliyewahi kupata problem hii anisaidie alitatua aje. aina ya tablet ni twinmos. Natanguliza shukrani.
B bs0d JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 250 Reaction score 36 May 22, 2013 #2 Twinmos yipi..? Twinmos tab -t7283G??? ama ? Imegoma ghafla au baada ya wewe kufanya kitu?
P Princessone Member Joined May 8, 2013 Posts 99 Reaction score 87 May 22, 2013 Thread starter #3 sory siko nayo karibu nichek hizo namba...ila nilitumia for like 3 weeks ikaanza kustack then ndo ikagoma kabisa
sory siko nayo karibu nichek hizo namba...ila nilitumia for like 3 weeks ikaanza kustack then ndo ikagoma kabisa