Mimi huwa siweki hizo protector..
Ila hii simu yangu mpya muuzaji akaniconvice sana niweke nikaweka ila baada ya wiki ikaweka bubbles pemben nikaona huu ujinga nikaitoa nikaitupilia mbali...
Ila tuache utani kutumia simu bila protector kuna raha yake...
Haya maprotector ni umaskini tu...nina iphone hapa nimeitumia zaidi ya mwaka bila protector ila haina hata mchubuko