Scramble and partition of Tanzania

Scramble and partition of Tanzania

mwitikio

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Wana Jf

Nimeamua leo nizungumzie leo kidogo kuhusu mwafaka wa nchi yetu, Tangu nikue nimeona mengi nakusikia mengi pia, katika kusoma kwangu history, mwalimu wangu alinifundisha topic moja ya scramble and partition of Africa, ailipojaribu kutuelewesha jinsi gani bara letu lilivyo gawanya na kuwa kwnye himaya ya wakoloni huku wazawa tukiwa watumwa ndani ya nchi yetu,.

Ila kuna viongozi wetu hapo zamani waliingia kwenye mikataba ambayo ilikuja kutugharimu baadaye hivyo wakatawaliwa kwa kwa mikataba ya kilaghai na kwa matumizi ya kijeshi, Ingawa kuna baadhi ya viongozi wetu wa jadi kama MKWAWA ambao hawakubali kabisa nchi yao kuona ikiwa nchi mabeberu huku utu wa mwafrika ukidharauliwa ambapo ailiunda majeshi yake ambayo yalikuwa yanasimama milimani kuilinda iringa ilimradi tu isionekae rangi yoyote nyeupe

My Take:-

Leo viongozi wetu wamekubali kuigawa TANZANIA kwa kuingia kwenye miktaba ya kilaghai kwa mwavuli ya urafiki na ushirikiano mwema na viongozi wetu wamekuli kuliingiza taifa letu sintofahamu hii, berlin conference 1884 ilikuwa hitimisho ya migogoro baina ya mabeberu ili watutawale kwa amani. kipindi hiki mataifa ya ulaya yapo katika kipndi cha scramble katika nchi yetu, tusubiri siku ambayo watafanya partition ya Tanzania yetu.

Siku za hivi karibuni nimeshuhudia mataifa yakimiminika ndani ya nchi yetu wakidai kwamba ni nchi ya kidemokrasia ambayo tangu kukua kwangu sijapata kuiona, Alianza xi jiping(china) akafuata wa korea kaskazin na hatimaye rais wa dunia kama alivosema waziri wa mambo ya nje akafuata obama(USA) wote hawa wana lengo la kufaidi rasilimali za tanzania kaw migongo ya uwekezaji na hata baada ya kuwekeza tunawasamehe madeni, wote wanang'ang'na kuja tanzania. Raisi wetu amejizoelea umaarufu mkubwa sana nje za nchi huku akiiweka tanzania yetu rehani kusifiwa na pongezi za kinafiki za kuendelea kufaidi nchi yetu zimempa kiburi kiasi kwamba hataki kabisa kushughulikia kero za wananchi.

Rais wa kwanza marekani tangu miaka 100 kupata uhuru kuja tanzania alikuwa Bill clinton naye alikuja kusuluhisha mgogoro wa Burundi na kushuhudia utiaji wa mkataba wa amani kati yaBurundi na makundi ya kipiganaji pale Arusha. Lakini mwaka 2000 alikuja bush ambapo mengi yalifanyika kuhujumu rasimali zetu na ndio maana mkapa alipomaliza mda wake aliteuliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa tume ya utandawazi.

Mbona hatukumuona John Kennedy ambaye alikuwa swaiba wa Nyerere leo wanamiminika kila kukicha, na je kulikuwa na sababu gani ya Obama kuongozana na Bush kwa lengo lile lile la kuleta la kuleta misaada tz, na je tunajua kitu gani bush alifanya alipokuja macho ya wengi yalielekezwa kwa obama na kumuacha Bush akiendelea kutembelea miradi yake kwa maslahi ya watu wa marekan. Tusubiri SCRAMBLE AND PARTITION OF TANZANIA.
 
Tanzania ni nchi yenye amani na demokrasia inayokuwa kwa kasi sana. ina rasilimali lukuki na za kutosha. Wawekezaji wanakaribishwa kwa sababu hizo hapo juu. Lakini pia sababu nyingine ni kulipa fadhila kwa mabakuli tunayotembeza huko duniani kuomba misaada kama vile vyandarua vya malaria (ambavyo baadae wananchi wanapigwa kwa ujinga wao na matumizi mabaya kama kuvulia samaki kisa zina matungu makubwa ambayo hayazuii mbu)
Itaendelea toleo lijalo.
Usikose.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom