mtawapondea sana sababu ya udini ila hata mimi nina dini ila still sipingi sehemu nyingi tu kwenye science moja wapo ni hili ya making stem cells in the lab, its very possible.. na science theories nyingi hua zina work in one way or the other, Mungu i believe yupo, ila science is a tool ya sisi ku-unlock the mystery of the universe, sio kua tunapingana na imani za watu, ndio maana vitu vipya vinazidi kugundulika kila siku na laws tunazidi kuzibadili, sasa kwa kusema earth ni billions of years old haimaaishi tunapingana na raia, science ndo inatuambia hivo kwa sasa, ikitokea evidence cku moja ya kusema we were wrong na ni 6000years old na proof bac tutabadilisha. ndo science iko hvo toka miaka na miaka...
Theres nothing wrong with evolution, it makes sense... hii tu mnaipondea sasa hivi, warp drive ikitengenezwa unatoka hapa hadi mars kwa dakika moja si ndo mtalia kabisa.. we r getting there, science has come far than ever