Jamani wa ndugu.mimi pia nimetumiwa hiyo email. Na nikapata ushauri kua niende KCB kufuatilia kama kweli hiyo org ipo. Nilipo fika wakajaribu ku icheki. Hiyo account imefunguliwa march this year huko mwanza na watu wawili, wakidai kua ni NGO inayohusika na mambo ya sec school, pia wanadai wana branch kenya. But hawakusema kama kuna hela zozote zile zitakazo wekwa za aina hiyo. Bank wamesema kuna uwezekano mkubwa sana kua ni wezi! So wameniambia niwaachie hiyo kazi wafuatili, then after some days watakuja na jibu. Na kama niwezi basi lazima wawafikishe mbele. So mtu asijaribu kuweka hata sent now