M M A N New Member Joined Jun 6, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Dec 31, 2017 #1 Habari za kuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 Ninaomba ufafanuzi kuhusu kazi zinazowezwa kufanywa na mtu aliesoma Degree ya Science in Health Information Systms, na je kuna chuo kingine kinatoa kozi hiyo tofauti ya UDOM?
Habari za kuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 Ninaomba ufafanuzi kuhusu kazi zinazowezwa kufanywa na mtu aliesoma Degree ya Science in Health Information Systms, na je kuna chuo kingine kinatoa kozi hiyo tofauti ya UDOM?