JesusMyMaker
Member
- Jun 2, 2019
- 60
- 41
😁😁 Shida n nn kwan mkuu mbona zingine tumeweza?Mmh hakuna kitu kama hiko kwakweli na sio leo kutokea.
Vincent Kogosi "Ray" abuni time travel mashine ikamrudisha mwaka 1850 enzi za ukoroni akamuua mzazi wa Carl Peters ili Carl Peters asiweze kuzaliwa mwaka 1851.
Huku nyuma, mwanadada Wema Sepetu "Iron Lady" akiwa katika Lab ya Tanzanite Lab akakamilisha kutengeneza suti yake ya Mark IX ikiwa equipped na Jarvis AI. Suti hii itamsaidia kupambana na Thanos katika kupigania Infinity gems...
Ugumu wa Sci-fi movies ni kwa producer. Yaani inabidi watu wapige code aswaaa. Maana vitendo kidogo computer sanaaaa.Boss,asee mbn kama unajua kutengeneza hizi mambo asee ani hpo nmesoma nkahis kama kweli vile😁😁😁
Sema daaah tatizo n kukosa story za hivo ama ni ile kukosa madirector wanaoeza kufny movie za hivo
Ama ni uvivu tu🤔
Kwan ni actors ndo wanaomba au production yenyew ndo wanachagua wenyew?Kitu rahisi nachongaa awawezi fanya.
Kuna Project kubwa Duniani kama ‘World War Zombie’ na Chapter 2 yake inaweza toka hivi Player wa bongo movie kwanini wasifanye ku-consult waandaji wakafanya Seen kadhaa Tz na wao wakaonekana kwenye Seen hata kidogo kama Zombie weusi wakafanya mikiki ya ajabu hata mtu akiangalia movie mzima atasema hii Seen ya Zombie in DSM hatari.
Industry inahitaji mapinduzi.
Afu kweli ila unataka kunambia bongo amn wanao soma mambo ya video production? Mbn DIT wapo kibao wanakwama wal kitumia hayo ma blue screen na ma FX nn sjui ukoUgumu wa Sci-fi movies ni kwa producer. Yaani inabidi watu wapige code aswaaa. Maana vitendo kidogo computer sanaaaa.
Ka
Kwan ni actors ndo wanaomba au production yenyew ndo wanachagua wenyew?
En hata hvo kama unawezkn n nzur ani hyo ingesaidia wanaiba hata ujuzi pale wa kufny hzo makeup zao na ma technologia yao
Vifaa man. Vifaa, budget, wataalamu, powerful computers.Afu kweli ila unataka kunambia bongo amn wanao soma mambo ya video production? Mbn DIT wapo kibao wanakwama wal kitumia hayo ma blue screen na ma FX nn sjui uko
Hata ukiangalia animation kama Moana lbd ambayo inafanyika tu bila kuharb vitu km kwenye mamovie KBS km fast and furious... Uki compare hiyo budget ya animation na ya movie za hapa bado sanaVifaa man. Vifaa, budget, wataalamu, powerful computers.
Umewahi angalia movie mfano Avengers ikiisha majina yakaanza kupanda juu, achana na wale casts sasa angalia production team, unakuta majina yanapanda juu zaidi ya dakika 10 inamaana washiriki zaidi ya 1000 ila hawaonekani...