school bus...lol

Dah ubunifu wa hali ya juu kinoma huu
 
Kumbe maguta ni very useful! Ngoja niangalie uwezekano wa kutengeneza taxi guta.
 
Dah! Sasa jamani hilo ni school bus au banda la mbwa?
 
kitu kama cha "new - delhi" hivi kwenye hayo maandishi, daah!! sukarrruu ghainee haankijjjjiiii!! wahindi daaaah!!
 
Kwenye hao abiria kuna rais waziri mkubwa na wengine madaktari hahah
 
utakuwa humpendi...lol
Ntakuwa nampenda na pia ntakuwa nakusaidia we maisha maana kama tutakuwa wateja wengi basi na huduma zako pia zitaboreka
 
ni punjabu hapo....sipati picha huyo atakaekuwa anashika usukani kiuno chake vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…