Scholarship za Oman zimeishia wapi jamani

samnas

Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
35
Reaction score
1
Jaman anaejua lolote kuhusu hizi scholarship atufahamishe maana kimnya kimezidi...au majib yamekuja kimnya kimnyaa??
 
Kati ya watu 86 wamepata watu 8..this z awkward
 
umejuaje kama 8 tu ndio wamepata?vp na ww umepata?
 
Mm sjapata mkuu, nmeona mtu alipost the same issue akajibiwa kwamba kuna watu walienda wizarani wakapewa jibu hilo, waliopata div.1 form for na form6 ndio waliopta scholar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…