Mwalimu Ntuntu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 314
- 294
Kama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.Ahsante sana mkuu!!@ Mabumbe
Mkuu miye nina GPA 3.3 ya BSC ECONOMICS nisaidie Aisee nipige MastersKama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.
3.3 we kalime tu na usisubiri magufuli atangaze kaziMkuu miye nina GPA 3.3 ya BSC ECONOMICS nisaidie Aisee nipige Masters
Haaaaaaaa!!! Guzman3.3 we kalime tu na usisubiri magufuli atangaze kazi
3.3 out of 4? au out of 5,,,, fafanua mkuu!Mkuu miye nina GPA 3.3 ya BSC ECONOMICS nisaidie Aisee nipige Masters
Mbona kilimo mnakidharau mnaona ndo kazi ya mwisho3.3 we kalime tu na usisubiri magufuli atangaze kazi
Ana 3. 9 kwenye scale ya 5 ambayo ni km 78% vp unaeza muangalia au lazima iwe 80%3.3 out of 4? au out of 5,,,, fafanua mkuu!
mkuu hiyo anapata kabisa! niambie amesoma fani gani? lakini kwa nchi zinazozungumza kienglish watamtaka awe na matokeo ielts vs toefl, lakini china, india russia na asia kwa ujumla anaenda bila hiyo ielts vs toefl test,Mdogo angu ana 3. 9 kwenye scale ya 5 ambayo ni km 78% vp unaeza muangalia au lazima iwe 80%
Bed English Languagemkuu hiyo anapata kabisa! niambie amesoma fani gani? lakini kwa nchi zinazozungumza kienglish watamtaka awe na matokeo ielts vs toefl, lakini china, india russia na asia kwa ujumla anaenda bila hiyo ielts vs toefl test,
mkuu hizo ielts vs toefl ndo kitu gani?mkuu hiyo anapata kabisa! niambie amesoma fani gani? lakini kwa nchi zinazozungumza kienglish watamtaka awe na matokeo ielts vs toefl, lakini china, india russia na asia kwa ujumla anaenda bila hiyo ielts vs toefl test,
Gpa 4.0 out of 5 Degree in Management of social development. Mkuu ninaweza nikawa eligible?Kama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.
IELTS means International English Language Testing System and it is a test of English language proficiency. na Test of English as a Foreign Language (TOEFL) is a standardized test to measure the English language ability of non-native speakers wishing to enroll in English-speaking universities. The test is accepted by many English-speaking academic and professional institutions. anaweza akachukua test moja kutoka british council hapo DSM.mkuu hizo ielts vs toefl ndo kitu gani?
Hii mkuu unapata nitakuwekea hapa kesho au weekend data mhimu,,Gpa 4.0 out of 5 Degree in Management of social development. Mkuu ninaweza nikawa eligible?
Asante mkuu.Hii mkuu unapata nitakuwekea hapa kesho au weekend data mhimu,,
Ukiwa na GPA ya kuanzia 3.5 out 5.,, mtu huyo anapata scholarship ukiwa mzuri wa kuandika motivation letter, referee wazuri na kiproposal umemaliza.Vipi mwenye 3.7 au ndo kilimo kinahusu mkuu