Nimekutana na hii blogu inaitwa http://tanzaniascholarships.blogspot.com/
ni blogu ambayo iko dedicated kutoa taarifa za scholarship zinazowahusu watanzania.
Ni vizuri kuwa na watanzania ambao wananapenda maendeleo ya elimu kwa kuanzisha blogu mbali mbali kama hizi.