Natanguliza shukrani jamani kwa yeyote mwenye taarifa ama msaada wowote ule utakaofanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma nje ya africa. Nimesoma shahada ya elimu masomo ya sayansi na nina GPA nzuri sana, kuachilia mbali ugumu wa maisha ,ukosefu wa ajira na mitaji ya biashara nina ndoto ya kujiendeleza kimasomo nje ya africa tangu nikiwa teenager Now nahisi ndo wakati muafaka wa kuitimiza ndoto yangu ya siku nyingi.Najua hautafaidika na chochote na sina cha kukulipa ila ukiguswa na mwito huu tafadhali usisite kutoa msaada.Nawakilisha
kama za hapo juu deadline zitakuwa zimepita au sio category yako jaribu kupitia hii website
>> Opportunity Desk | The One-Stop Place for Global Opportunities
kisha bofya menu then chagua category yako kama ni degree,masters or phD
hata yule mtanzania aliyepata scholarship ya 356mil kama sijakosea aipatia kwenye hiyo website
Natanguliza shukrani jamani kwa yeyote mwenye taarifa ama msaada wowote ule utakaofanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma nje ya africa. Nimesoma shahada ya elimu masomo ya sayansi na nina GPA nzuri sana, kuachilia mbali ugumu wa maisha ,ukosefu wa ajira na mitaji ya biashara nina ndoto ya kujiendeleza kimasomo nje ya africa tangu nikiwa teenager Now nahisi ndo wakati muafaka wa kuitimiza ndoto yangu ya siku nyingi.Najua hautafaidika na chochote na sina cha kukulipa ila ukiguswa na mwito huu tafadhali usisite kutoa msaada.Nawakilisha
1. Wapo watu wangapi Tanzania, wenye sifa kama zako (au kuzidi) wenye ndoto hizohizo za kusoma nje ya Afrika? Kwa kurahisisha, A. Uko peke yako. B. Mko wengi
2. Ikiwa jibu la Na. 1. hapo juu ni B., kwa nini skolashipu hiyo upate Wewe na siyo mwingine?
Dada bado unapenda ustar wa status kwamba umesoma mbali
Ugumu wa ajira hautusuluwi na kusoma nje ya Africa we upate chuo chenye sifa unazohisi utasoma uondokane na 'ukiachilia mbali' ulizotaja hapo juu hata ukipata S. Africa nenda kasome.
Kusoma nje kunahitaji maandalizi tena sio ya miezi 2 au 3 labda wazazi wako wawe na pesa nyingi, ila naona umeshasema ni mtoto wa mkulima jipange tu dada kwa mwaka mmoja hivi
chakufanya ni hivi
kama uesoma ualimu wa hesabu
1. anza kufanya mitihani ya IELTS/TOEFL 450,000/= TO 550,000/=
2. Fanya GRE 520,000/=
3. Omba vyuo unavyotaka kwenda hapo tayari utakua una IELTS/TEOFL/GRE results ili upate admission
4. Tafuta scholarshipis hizi ni lazima uwe na IELTS/TOEFL reslts na uwe na admission tayari ambayo ndio utaombea scholarships
5. Interviews
N.B. huu mchakato si wa miezi 4 kwa mtoto w MKULIMA jipange sana
Kusoma nje kunahitaji maandalizi tena sio ya miezi 2 au 3 labda wazazi wako wawe na pesa nyingi, ila naona umeshasema ni mtoto wa mkulima jipange tu dada kwa mwaka mmoja hivi