MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
Au siondio nini hiki we mzee sasa unadhalilisha kijiwe...
Mimi nimemwelewa kiasi,ame present ujumbe wa Charles manson kuwa watawala si wema kwetu, na hata hapa kwetu ndivyo ilivyo, si wema kwetu,zingatiaSijakuelewa kabisa mleta mada. Labda wapo waliokuelewa.
Pole sanaSijakuelewa kabisa mleta mada. Labda wapo waliokuelewa.
Mimi nimemwelewa kiasi,ame present ujumbe wa Charles manson kuwa watawala si wema kwetu, na hata hapa kwetu ndivyo ilivyo, si wema kwetu,zingatia
Alikua ni cult leader , lakini baadae ikafahamika kuwa alikua na UWEZO mkubwa , nguvu na MAARIFA mengi kuhusu Intelligence Matters + Divine issues . So akaanza kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na Usalama . Na MWISHO wakamuua.Alikuwa Nani huyu "Charles Manson" Mwanaharakati, Gaidi, Muuza Madawa amaa..!!?
Nimevutiwa na Maongezi/Majibu yake.
Ngoja nimgoogle....
Acha uongo. Charles Manson alikuwa hypie (sijui kiswahili chake) ambaye alikuwa na kikundi cha wafuasi ambao aliwa-brain wash kisha akawaongoza kwenda kufanya mauaji mwaka 1969 huko Los Angeles, US. Waliouawa ni pamoja mke wa director maarufu wa sinema Roman Polanski ambaye pia alikuwa muigizaji Sharon Tate ambaye alikuwa mjamzito. Wengine ni Jay Sebrings, Abigail Folger, Wojciech Frykowski, Steven Parent, Leno LaBianca na mkewe Rosemaary.Alikua ni cult leader , lakini baadae ikafahamika kuwa alikua na UWEZO mkubwa , nguvu na MAARIFA mengi kuhusu Intelligence Matters + Divine issues . So akaanza kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na Usalama . Na MWISHO wakamuua.
R.I.P Charles
Umesema alikuwa na uwezo na maarifa kuhusu intelligence, WRONG. Hakuna ushahidi wowote kwamba Manson alikuwa na uwezo huo, he was just a deranged person.Compare ulichokiandika , na nilichoandika
This guy was fcking nuts.Nimekuwa nikimsikiliza katika interviews na intterrogation kadhaa inaonyesha ni aina ya akina Dr shika.
He was insane. Kuna siku alikuwa anahojiwa na mwandishi aliyeenda jela kufanya mahojiano naye. Katikati ya interview akamwambia mwandishi " ...let me go sh!t first, I will be right back".This guy was fcking nuts.Nimekuwa nikimsikiliza katika interviews na intterrogation kadhaa inaonyesha ni aina ya akina Dr shika.