Scania Marco Polo For Sale

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Wanunuzi serious wanipigie bei ya kutupa bus Kama lilivyo kwenye picha limeshalipiwa ushuru na kila kitu.

Simu: 0625249605
 
Dah.....Sie wapenda Sweden tumekuja mbio af hakuna picha dah
 
Inasumbua balaa hiyo basi.... imara coach hiyo
Anyway sikutaka kuharibu biashara yako mkuu lakini kiukweli hii bus naipata vizuri sana....kuna haja ya kuchange maelezo hapo juu!! Mpaka dakika hii tunazungumza gari ipo Maeneo ya berega Morogoro Dom road imetaga. Thou hata ukisema unaiuza wapo watundu wa kuchange engine kuileta mbele na ikapiga kazi vilivyo..mfano Arusha express ana marcopolo alichukua kwa Scandinavia zilikuwa engine nyumba nw ni engine mbele na inapiga mbeya Arusha. Wengi sana wanaitamani hii gari na naweza kukulink na waliokuwa wanaizungumzia sana kuitaka
Ndio. Hatujaona usumbufu wake.
 

Namba zangu zipo post namba moja.
 

Huo si usumbufu kwa wazoefu. Basi inauzwa. Ataenunua ni haki yake kubadilisha apendavyo.

Biashara huwezi kuiharibu. Kama ipo ipo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…