S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Apr 1, 2012 #1 Gari na tela yake ina hali zuri sana kwa kila kitu na iko safarini kwa mawasiliano kwa maelezo zaidi 0754-646827
Gari na tela yake ina hali zuri sana kwa kila kitu na iko safarini kwa mawasiliano kwa maelezo zaidi 0754-646827
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 Apr 1, 2012 #2 weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake.
weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake.
T tabu kuishi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 353 Reaction score 44 Apr 2, 2012 #3 Weka picha na bei mkuu or ni sms 0712976729
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 100 Apr 2, 2012 #4 sithole said: weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake. Click to expand... La muhimu hilo mkuu......
sithole said: weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake. Click to expand... La muhimu hilo mkuu......
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Apr 2, 2012 #5 Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii.
S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Apr 2, 2012 Thread starter #6 Mende0 said: Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii. Click to expand... Nipo nawapigia simu vilevile unaweza ku- PM, hata tuma msg kumia 0754-646827 kuuza truck pekee inawezekana au trailer pekee na pia tunazo track na trailer zaidi ya tatu tumeannza na hiyo kwanza lkn haizuii ntu kununua hizo zingine.. KARIBUNI SANA..
Mende0 said: Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii. Click to expand... Nipo nawapigia simu vilevile unaweza ku- PM, hata tuma msg kumia 0754-646827 kuuza truck pekee inawezekana au trailer pekee na pia tunazo track na trailer zaidi ya tatu tumeannza na hiyo kwanza lkn haizuii ntu kununua hizo zingine.. KARIBUNI SANA..