Hii biashara gereji ni muhimu la sivyo uwe na yadi yako na mafundi wako ambapo ni mtaji mkubwa.
Ila kama ndio umepata pesa za kustaafu sikushauri uingie kwenye biashara hii utakufa mapema.
Kwa kijana hiyo unaweza anza nayo kutokana na ufinyu wa mtaji ila ni biashara moja ngumu sana. Na ikikubali inakutoa mapema sana
Maana kwa scania used kichwa ya europe 50 hadi 60 unachukua.
Hiyo bei ni kwa wale first time in business akifikiri akitoa hiyo hela basi mtaji utarudi ndani ya mwaka mmoja ama miwili kumbe la ni msoto wa kufa mtu.