Scan this and see what happens!!!!!

yaani ni-print kwanza ndo niscan?au unazungumzia ku-scan using ant virus
 
Inabidi uwe na smartphone, pamoja na app ya kuscan barcodes, then ukiifungua hiyo app ukiscan QR_CODE ya Mzee Mwanakijiji hapo, unapata message ifuatayo:

rockcitym@gmail.com
Agiza Nakala yako sasa
Agiza nakala ya kutabu cha "Majeruhi wa Mapenzi"
Riwaya ya M.M. Mwanakijiji. Mitaani kitauzwa kwa Tsh.18,000. Ukiagiza mapema utapata kwa punguzo la 15%.
Send email to:klhnewa@gmail.com
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…