Nami aliniambia hivyo hivyo kumbe anatafuta details za mtu ili aweze kufanya yake.Asante kwa ufahamisho huo. Huyo favour madi ameshaniletea pm hapa jf akiniomba email yangu, eti ana kitu anataka 'kushare' nami. Kidogo nikastuka, nikawaza:huyu memba wa jf anahitaji email yangu kwa ajili ya nini, kama kuna kitu anataka kushare nami si angeshare kwenye pm?
Nikamjibu kwenye hiyo pm kwamba hakuna haja ya email yangu ila anieleze anayotaka kushare nami kwenye pm hapa JF
Akapiga kimyaa mpaka leo sijamsikia.
Kumbe matapeli wa nigeria wameshapenyeza hapa JF! Too bad.
Unaona kumbe wapo wengi basi jamani tusiache kupeana taarifa hasa kwa kuwaweka hapa jukwaaani ili na wengine wajue nini kinaendelea kwenye hii mitandaoyalinikuta... alini pm mtu anataka kuwekeza kwenye mashamba makubwa(estates) kwa hapa tanzania akadai yupo thailand(kama sijakosea) anataka mimi niwe mshirika wake akanipa na email yake tuwasiliane.... tamaa ilivamia nafsi yangu kwa kweli mmmh... ngastuka!!!