ukweli magari ya sbjt mengi yamekwenda km nyingi, mpaka sasa sijaona wa kuwa-beat tradecarview kwa bei nafuu na uwingi wa magari!!
hao beforwad na sijui akina nani unakuta hata models nyingine za magari hakuna, lakini sijawahi kosa models yoyote ya gari tradecarview!!
autorec bei zao zipo juu ukilinganisha na tradecarview, pia na wenyewe unakuta models nyingine hawana.uko sawa mkuu kuhusu trade carview! Hawa jamaa wana models nyingi na zinakuwa kwenye condition nzuri. Pia autorec nao wako vizuri sana kwenye magari yao.
Tradecarview ni wakala lazima models almost zote ziwepo.uko sawa mkuu kuhusu trade carview! Hawa jamaa wana models nyingi na zinakuwa kwenye condition nzuri. Pia autorec nao wako vizuri sana kwenye magari yao.
sbt kuna jamaa mmoja anaitwa mutahir...anapiga simu hata mara 1000 kwa siku..nawakubali be forward ni professional sana..
mimi nilifanya hilo kosa najuta!!!mkuu usijaribu kuwapa namba zako za simu, watakusumbua hadi kero!!
mkuu soma post na comments za watu uelewe, uuliza sbtjapan ni kampuni ya wapi pia uelewe. ona umekurupuka na ulichoandika ni kichekesho kitupu.Hizi co. Zote tunazozungumzia ni kwa ajili ya kuwadanganya Waafrica,Hawa car dealer hawana ofisi za kitapeli nchi yoyote iliyoendelea ila kwa hapa East Africa wametega wajinga,wameweka kwenye site zao wana ofisi na magari hapa bongo lkn zote kamba tu,hakuna kampuni hata moja yenye stock ya hata gari tano hapa bongo katika hizo,wameweka viofisi mshenzi vya kuwasomeshea watu,wamewategeshea na wakenya na vi english vyao basi kwa ushamba wa wabongo tunawashobokeaaa,dealer wa ukweli wametulia Japan na wanasukuma michuma kwenye net na kwa bei za ukweli,AMKENI!! mnauzia mikweche kwa bei chee kila leo mko kwa mafundi alafu mnachekelea,Rahisi ni aghali!!!
:target:mkuu nimecheka mpaka basi, pole kwa kupigiwa simu mara elfu moja kwa siku moja.
mkuu siku moja ina dakika 60x24= 1440 dakika , kama ni muda wa mchana tu yani masaa 12, 12x60= 720 dakika.
ina maana wajamaa wanakupigia simu kila baada ya dk moja, pole sana mkuu tena pole sana.:target:
Kama unahitaji gari tuwasiliane ipo company na deal nayo kwa miaka mitano sasa they are very good.they offer 50% on order placement and rest against bill of lading
Wako wapi hawa,nilisikiag wana bei nzur
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Beforward ni very professional.
Kama unahitaji gari tuwasiliane ipo company na deal nayo kwa miaka mitano sasa they are very good.they offer 50% on order placement and rest against bill of lading
SBT wanaweza kuwa wazuri zaidi ya Befoward maana kununua gari befoward ya rangi mbili usijeshangaa. lakini kampuni nzuri na yenye magari mazuri na bei powa ni Autoenhance nimenunua magari manne kwao hawana shida na wanatumia web mail box ambayo hakuna hacker anaweza kuingilia mawasiliano.
LoL! ndio nini tena?....lol!
Hizi co. Zote tunazozungumzia ni kwa ajili ya kuwadanganya Waafrica,Hawa car dealer hawana ofisi za kitapeli nchi yoyote iliyoendelea ila kwa hapa East Africa wametega wajinga,wameweka kwenye site zao wana ofisi na magari hapa bongo lkn zote kamba tu,hakuna kampuni hata moja yenye stock ya hata gari tano hapa bongo katika hizo,wameweka viofisi mshenzi vya kuwasomeshea watu,wamewategeshea na wakenya na vi english vyao basi kwa ushamba wa wabongo tunawashobokeaaa,dealer wa ukweli wametulia Japan na wanasukuma michuma kwenye net na kwa bei za ukweli,AMKENI!! mnauzia mikweche kwa bei chee kila leo mko kwa mafundi alafu mnachekelea,Rahisi ni aghali!!!
LoL! ndio nini tena?