Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Umeshawahi kujiuliza kwenye Sayari ya Mars Anga ya Usiku inaonekanaje?
Nasa imefanikiwa kutoa picha za kustaajabisha kutoka umbali wa maili milioni 250,
zikiweza kuonyesha Anga haijaguswa na uchafuzi wowote wa Mwanga kwenye Sayari ya Mars uzuri safi wa Ulimwengu wa Mars.
Video yake 👇