mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Hizo zipo sana mkuuMmmmh mpapai unafungwa gunzi la muhindi..daah hizi imani nyingine
kwa nini watu wanaamini hivyo sanaHizo zipo sana mkuu
But not workingHizo zipo sana mkuu
Kwanini *7?kuku mgeni wa kienyeji kumzungusha kwenye banda mara saba alafu unamuachia jioni anarudi mwenyewe.
Mambo ya mtaani hayo. Mara nyingi ilikuwa inafanikiwa...kwa nini watu wanaamini hivyo sana
Hahahahahaa.kuku mgeni wa kienyeji kumzungusha kwenye banda mara saba alafu unamuachia jioni anarudi mwenyewe.
Hatari sana...Kuna ile ya kutia chumvi kwenye fenesi bichi ili liive haraka...
kwa sasa hivi je? inafanikiwa?Mambo ya mtaani hayo. Mara nyingi ilikuwa inafanikiwa...
Kuna ile eti wanasema ukichanjia utomvu wa mpapai kwenye mpwipwi/dick kadri mpapai unavyokua na mpwipwi/dick nao unakua.-Jiwe linalonyonya sumu ya nyoka....
Hapa ni pale mtu anapoumwa nyoka eti Kuna jiwe maalumu linalonyonya hiyo sumu.
Tunaenda mbali zaidi eti ukiliweka kwenye kikombe cha maziwa kama demo linanyonya yote...
-mpapai unaufunga gunzi la muhindi ili usiwe dume ukashindwa kutoa mapapai
Hizi sayansi jadi zinaukweli ndani yake au Mungu anatubeba tu...
Umekulia maghorofani wewe, tuliokulia kijijini tunajua sana hayo mamboBut not working
Poleni kwa matango poriUmekulia maghorofani wewe, tuliokulia kijijini tunajua sana hayo mambo
-Jiwe linalonyonya sumu ya nyoka....