Saving private Ryan

Mzee baba hichi kisanga ndio nmekiona leo ...aise dah! kweli vita sio lelemama ..yani solders wanakishwa ni balaa lakini hawarud nyuma ..apo ndo utaamin mwanajesh ni raia mwingine kabisa ..

Kuna yule mtafasiri lugha alizingua sana ..yani anashuhudia mwenzake anashindiliwa kisu cha kifuani afu kwa uoga wake anashindwa mtetea solder.

Ila kiukweli movie kali sana, yule sniper alitisha alivyo msave Van Diesel.. Kapt John Miller alikufa kishujaa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hii picha nimeipata jana na kuiweka nyumbani mwenzangu akawa anafuatilia mimi niko Bize na jf, ntaenda kuifuatilia vizuri, asante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…