Savanna plain high school

bne

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,686
Reaction score
2,023
Je unazijua Feza schools?
Je unazijua mariani schools?
Je unazijua shule zote zinazofanya vizuri hapa Tanzania?
SASA IMEKUJA SAVANNA PLAIN HIGH SCHOOL. ipo shinyanga na ni bweni
Piga namba 0754907827/ 0713385028 kupata nafasi ya kidato cha kwanza.
WANAHITAJIKA WANAFUNZI 42 TU. Wahi sasa nafasi ni chache sana
 
Tuwekee na ada zao
 
Ada bab kubwa hapo. Wanasomesha wazaz wanaifanya kazi migodini, wazaz wa milion moja na nusu mbili, hampawezi hapo
 
Jamani ada ya shule hii ambayo ni ya kisasa sana ni nafuu sana kuliko unavyofikili.
Ni shilingi milioni NNE na laki 6 na ulipaji wake ni Mara tatu.
Ukishalipa tu Mwanafunzi anakuja kama alivyo, vitu vyote atavikuta shule ni.
Najaribu kuwawekea picha nashindwa lkn Tafadhali mlete mwanao apate hii haki sasa kwani huko mbele hali inaweza kubadilika
 
Ada bab kubwa hapo. Wanasomesha wazaz wanaifanya kazi migodini, wazaz wa milion moja na nusu mbili, hampawezi hapo
Ndg ada ni ndogo sana ni 4m na laki 6 ulipaji maelewana lknsi zaidi ya awamu 4.
Ukilipa mtoto anakuja kama alivyo vitu vyote atavikuta shule
 
Form 1-6 mkuu sio? Naijua sana iyo shule ni nzuri mno,,,hapo mwanzo ilikuwa inter.....

Na imeshaanza kufanya kazi?
 
Form 1-6 mkuu sio? Naijua sana iyo shule ni nzuri mno,,,hapo mwanzo ilikuwa inter.....

Na imeshaanza kufanya kazi?
Imeanza ndg yangu na ada yake ni kawaida sana njoo au mlete mtoto zawadi kwa ajili yako inakusubili. Piga 0754907827/0713385028
 
Kwa madarasa yote mpaka unamaliza ni same fees mkuu? Au kadiri unavyopanda na ada inazidi?
 
Kwa madarasa yote mpaka unamaliza ni same fees mkuu? Au kadiri unavyopanda na ada inazidi?
Ni kwa madarasa yote lkn kwasasa tumeanza na form one hakuna ongezeko la ada kulingana na unavyopanda kidato.
Vidato vyote ada ni sawa toka f1_ f4.
Mtoto aliyeingia mwaka huu tunategemea amalize f4 kwa ada hiyohiyo
 
Poa mkuu. 5 and 6 hakuna?
 
ni ya kigogo gani vile tukumbushe
 
dah sasa ndo nimeng`amua kwanini Raisi kasema waliosoma shule za private hakuna kupewa mkopo vyuo vikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…