The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Mar 9, 2011 #1 Jamani, sauti km za milipuko zilizokuwa zikisikika hivi punde ni za nini?
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,068 Reaction score 2,225 Mar 9, 2011 #2 Wapi huko au kwenye P.C yako?yani mimi hapa nilipo sisikii kabisa.
Susy JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,431 Reaction score 221 Mar 9, 2011 #3 ha hahaaaaaa!!!!!
Silas Haki JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 368 Reaction score 39 Mar 9, 2011 #4 Uwe wazi ndugu, ni wapi huko kuliko na mlipuko maana si kila mwana JF anasikia kama unavyosikia wewe. WanaJF wametapakaa kila kona ya ulimwengu huu.
Uwe wazi ndugu, ni wapi huko kuliko na mlipuko maana si kila mwana JF anasikia kama unavyosikia wewe. WanaJF wametapakaa kila kona ya ulimwengu huu.
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Mar 9, 2011 Thread starter #5 Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji.
Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji.
O omuka Member Joined Jan 14, 2009 Posts 49 Reaction score 1 Mar 9, 2011 #6 Na mimi nimeisikia, ilikuwa mitaa ya upanga karibu na ukumbi wa diamond
O omuka Member Joined Jan 14, 2009 Posts 49 Reaction score 1 Mar 9, 2011 #7 The Pen said: Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji. Click to expand... Na mimi nimeisikia, ilikuwa upanga karibu na ukumbi wa diamond
The Pen said: Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji. Click to expand... Na mimi nimeisikia, ilikuwa upanga karibu na ukumbi wa diamond
K Keykey JF-Expert Member Joined Dec 1, 2006 Posts 3,251 Reaction score 750 Mar 9, 2011 #8 omuka said: Na mimi nimeisikia, ilikuwa upanga karibu na ukumbi wa diamond Click to expand... Maeneo hayo kuna Makao MAkuu ya JW, walio karibu tujuzeni isijekuwa yaleyale ya Gombs?
omuka said: Na mimi nimeisikia, ilikuwa upanga karibu na ukumbi wa diamond Click to expand... Maeneo hayo kuna Makao MAkuu ya JW, walio karibu tujuzeni isijekuwa yaleyale ya Gombs?
Kisaa kyafo Member Joined Dec 22, 2010 Posts 80 Reaction score 1 Mar 9, 2011 #9 Kakalende said: Maeneo hayo kuna Makao MAkuu ya JW, walio karibu tujuzeni isijekuwa yaleyale ya Gombs? Click to expand... Msiwe na hofu ,kuna afande mstaafu wa jwtz alikua anazikwa maeneo ya kisutu.ni afande aliyekua na cheo cha juu ktk jeshi letu,r i p
Kakalende said: Maeneo hayo kuna Makao MAkuu ya JW, walio karibu tujuzeni isijekuwa yaleyale ya Gombs? Click to expand... Msiwe na hofu ,kuna afande mstaafu wa jwtz alikua anazikwa maeneo ya kisutu.ni afande aliyekua na cheo cha juu ktk jeshi letu,r i p
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Mar 9, 2011 #10 Ni guta lilikanyaga kopo la dasani.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Mar 9, 2011 #11 KakaJambazi said: Ni guta lilikanyaga kopo la dasani. Click to expand... Mmmhhhh.... JOB TRUE TRUE...
KakaJambazi said: Ni guta lilikanyaga kopo la dasani. Click to expand... Mmmhhhh.... JOB TRUE TRUE...
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,428 Mar 9, 2011 #12 Hata mimi nilikuwa Muhimbili nikasikia,niliingiwa na wasiwasi mabomu yameanza tena.
K Kudadadeki Member Joined Oct 7, 2010 Posts 70 Reaction score 6 Mar 9, 2011 #13 Ni maziko ya Major General Somebody aliye kuwa anazikwa makaburi ya Kiislamu Kisutu mchana/ jioni hii. Hupigiwa mizinga 21- controlled. Nimeongozana na malori matatu ya jeshi jioni hii yakiwavuta Mizinga hiyo along Alli Hassan Road.
Ni maziko ya Major General Somebody aliye kuwa anazikwa makaburi ya Kiislamu Kisutu mchana/ jioni hii. Hupigiwa mizinga 21- controlled. Nimeongozana na malori matatu ya jeshi jioni hii yakiwavuta Mizinga hiyo along Alli Hassan Road.
M mzawahalisi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 752 Reaction score 238 Mar 9, 2011 #14 ni maziko ya Retired mkuu wa jeshi la anga Meja Jeneral Mwakitosi yaliyo fanyika katika makabuli ya kisutu, tusikimbizane wandugu.
ni maziko ya Retired mkuu wa jeshi la anga Meja Jeneral Mwakitosi yaliyo fanyika katika makabuli ya kisutu, tusikimbizane wandugu.