labda tatizo ni kuchukua sheria mkononi kwenye ndogondogo ,tuchukue sheria mkononi kwenye kubwa kama escrow,sasa hata ukitaka kufuata mkondo wa sheria ni kazi bure majaji wenyewe wengi wao ni wala rushwa, refer to escrow scandal
poa kaka nimekupataNdio hivyo kuchomaa gari haisaidii .Sijaona. watu wanaandamana kuhusu escrow.Kisheria bodaboda wamefanya kosa.
Badaboda ni watu wa ajabu sana..Wadhibitiwe maana wana tabia za ajabu sana.Pakitokea ajali hata kama wao ndio wenye makosa huchoma gari.Hawajui vyombo vya moto sio salama mfano gari kupasuka tairi ni nje ya control ya dereva.Kwa nn wachome.??I dont like it.Ukitizama thamani ya gari hata uwape 10 yrs hawawezi kulipa.Wat if huna bima??
Hii nchi kila mtu ni mbabe tu, watu washachoka kuwa waungwana sasa maana wanajihisi kama uungwana wao unawafanya waburuzwe. Bodaboda wanechoma moto gari kibabe na sasa mwenye gari anawasaka kibabe. Utemi kama huu huwa ni dalili mbaya sana.
Ova
Watazichukua wapi hizo sheria? Wahenga waliziweka kwenye vitabu ilu kila raia azipate, pia wakaziundia chombo ili kizilinde. Sasa hicho chombo kimezifungia kabatini na wananchi wakizitaka kila mmoja atanyofoka kivyake na kakifungu chake mkononi.Suala la watanzania kuchukua sheria mkononi sio zuri
Kodi kwenye Pikipiki upandishwe ili zipungue
Kwa anayejua atujuze kuna sauti za milipuko mikubwa maeneo ya boko na Bunju. Pia vingora tunavisikia Kwa mbali. Kwa anayejua atujuze nn kinaendelea
Kodi kwenye Pikipiki upandishwe ili zipungue
Sasa hapo mtu akisema watu wa namna hii "wapigwe tu!" anaonekana amechafua hali ya hewa.
Tairi limepasuka kwa bahati mbaya,mambo yanakuwa hivyo.
JE,HUU NI UUNGWANA?