Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 5,912
- 11,106
Yani utampenda tu hata kama unatumikia uchawa, moyoni mwako unakubali tu kwamba dunia inaendelea kupata somo hata mama yao anakubali ufanisi wake! Watakuja kufanyia research hiki kichwa miaka ya baadaye wenye akili kujua cells za ubongo wake zina nasaba ya kibongo kweli? Huyu mnyaturu wa namna gani? Tusubiri tutajua tukiwa hai...
Au mwenzetu huyu ni alien? Mbona alama anazoacha zinavuka ufahamu wa kengez? Tangu LEAT kule Bulyanhulu nanteen kweusi, kupitia risasi za SMG/AKA47 zilizoshindwa, kuangusha mwamba njiani hadi hizi lectures mfululizo toka pale Kivukoni dah!
Anaangusha mnyama mojamoja kama kawaida ya simba, tutafikaga tu
Anatisha mbuyakwe...