Yes warumi mi kwa mara ya kwanza nmeusikiliza leo east africa radio mida ya asubuhi dah! Yan hayo mashair mpk ss hv bado najiulza hawa vjana huwa wanawaza nn, bonge ya idea yan!
Umeona eeh? Halafu mtu anachukua tuzo mia kwa mpigo, nyimbo zenyewe upuuzi mtupu, ila hawa jamaa mmh!! Hii nyimbo yao inachoma sana, nadhani wakina dada watajifunza kitu
Naumia pale wanapoimba huwezi jua unaweza zaa baraka obama au lupita nyongo, yani dah inagusa sana kwa kweli, akina nerea wapo wengi sana apa mjini, hyo ndo dawa yao
Yes warumi mi kwa mara ya kwanza nmeusikiliza leo east africa radio mida ya asubuhi dah! Yan hayo mashair mpk ss hv bado najiulza hawa vjana huwa wanawaza nn, bonge ya idea yan!
Tukizungumzia ubunifu na usanii ndio huu sasa, wimbo unakuingia mpaka kwenye mishipa ya damu, dah wameimba kwa hisia sana, hii nyimbo itawafundisha wadada wengi kutokutoa mimba maana wanaweza kuua wakina baraka obama wajao au akina oprah, kazi nzuri sana